Heater za kukuzia vifaranga au Visababishi joto.


 

HEATER INAYOTUMIA UMEME

  • Ukiwa kama mfugaji mwenye malengo na usiyetaka kupoteza muda unatakiwa ukuze vifaranga vyako kwa kutumia vifaa vya kisasa, hii ni mashine ambayo itakusaidia wewe kukuhakikishia kua bandani kwako kutakua na joto muda wote na lenye kiwango kinachotakiwa bila kuzidi.

 

IMG-20160816-WA0021
ELECTRONIC BRODER

 

HEATER INAYOTUMIA GESI

  • Na pia hatukuwaacha mbali wale ambao wako mbali na umeme, Heater hizi zenyewe hutumia GESI ya kawaida kabisa ya nyumbani. Pia inatumia kiwango kidogo sana cha GESI na ni rahisi kutumia.

IMG-20160816-WA0027

 

Create a free website or blog at WordPress.com.

Up ↑