SEMINA ZIKIWA ZIKIENDELEA KATIKA HARAKATI ZA KIUFUGAJI ZAIDI.


 Baadhi ya wanaharakati wakiwa katika semina za bure kabisa bila malipo kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji.

Tazama picha hapo chini, ni semina zikiendelea na maelekezo ya jinsi ya kufuga na kuwajali kuku wako (WATUNZE KUKU WAKUTUNZE NA WEWE). Ni jambo ambalo ukilitazama ni rahisi sana na la utani, lakini kama ukiamua na kuchukua hatua sasa ni jambo zuri sana.

  • PIGA SIMU SASA UWEKE APPOINTMENT YA KUJA KUJIFUNZA BURE.
  • NI UFUGAJI AMBAO UKIJIFUNZA HAUTAJUTA.
  • BAADA YA MIEZI MITANO TU UNAANZA KUPATA FAIDA YA KUKU WAKO UTAKAOWAFUGA KWA KUWAJALI.

Piga simu sasa.

  •         +255 754 467423
  •         +255 715 467423

 

Blog at WordPress.com.

Up ↑